House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







200,000/=×6
INAPANGISHWA LOCATION MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi
KM.1.5
Kutoka Morogoro Road
Usafiri upo BAJAJI
Piya na PIKIPIKI ZIPO
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,00)
X 6
0713661530_0783661530