House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000X6) MBEZI KWA MSUGULI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
UMBALI DK 15-20 KWA MGUUU TOKA LAMI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
‼️HAKUNA JIKO
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200K X 6.
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 500
💥 KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA SHILINGI LAKI 2 (200K)
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453