House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI UMBALI KM/ 2/ 5 KUFIKA
USAFIRI BAJAJI 700/ UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
SIFA YANYUMBA
SEBULE KUBWA SANA CHUMBA MASTAR KUBWA SANA JIKO KUBWA NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250/ X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPIA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CANT
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















