House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0677445508
#APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA #KIMARA_TEMBONI
#KODI 250,000X6
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
#IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#UMBALI KM 1.5
BODA BODA 1000
BAJAJI 500
#IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING ZINAWEKWA
#KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20,000
#NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA



















