House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MRADI UMEPATIKANA DAKIKA ZA JIONI SANA ..MCHELEWE NYINYI TU.

Wewe unakopeshwa kiwanja mbweni tena mkopo wa miezi sita(6).

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Ubungo.Ukubwa wa Kiwanja Sqm 1200. Bei ni Milioni 150, maongezi yapo.Gh...

5 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 30,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENT...LOCATED IN MBWENI JKT DAR ES SALAAM TANZANIA..5 BEDROOMS ALL IS SELF CO...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

plot for salembweni jkt block 6 Area sqm 1600price ml 450 Contact 07125316570789731695

2 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

Two Bedroom Apartment – Mbweni, Zanzibar 🌴Looking for comfort near the airport and town?This two-be...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

plot for salesqm 400ml 65mbweni mpij 0743688011

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

plot for salembweni jkt block 6 Area sqm 1600price ml 4500743688011

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

#NYUMBA_YA_PEKEE_YAKE INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI ______________KODI TSH MIL 2,500...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Ubungo.Ukubwa wa Kiwanja Sqm 950. Bei ni Milioni 130, maongezi yapo.Gha...

5 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

$ 2,800 per month

LUXURY HOME FOR RENTLOCATION : MBWENI JKTRENT : USD $2800 PER MONTH 5 bedrooms en-suite Living roomD...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

kina view baharimbweni malindArea sqm 480price ml 50clean title deed0743688011

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 390,000,000

HOUSE FOR SALEmbweni malindArea sqm 700price ml 3904bedroomsclean title deed0743688011

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo mbweni Ubungo.Ukubwa wa Kiwanja Sqm 1500. Bei ni Milioni 150, maongezi yapo.Gh...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BINAFSILOCATION MBWENI UBUNGO DAR4BEDROOMS, SEBULE, DINNING, JIKO PIA ...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000,000

Nyumba Ya Kisasa InauzwaMahali: Mbweni JktBei: Milioni 450β˜‘οΈUkubwa: Sqm1300β˜‘οΈSifa: Vyumba 4, Viwili ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

plot for saleArea sqm 900price ml 150mbweni round about clean title deed0743688011

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

plot for saleArea sqm 1000price ml 280mbweni kilimahewakina view bahar0743688011

2 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

Nyumba zinauzwa mbweni kiembeni zipo mbili bedrooms 2 self contained one sitting room kitchen public...

2 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

Nyumba zinauzwa mbweni kiembeni zipo mbili bedrooms 2 self contained one sitting room kitchen public...

House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

PLOT FOR SALE at MBWENI JKTThis plot is ideal for luxury residential And modern standalone house.*lo...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

plot for salembweni malindiArea sqm 750 price ml 130clean title0743688011