House for Rent at Mianzini, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA MIANZINI ARUSHA
Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja masterr
Ina makabati vyumban
Ina sebule kubwa
Ina Public Toilet
Ina Sebule
Ina Jiko lenye makabati
Ina Parking
umeme unanietegemea na maji
UMBALI:Mita 100 kutoka Lami
Bei 550000/= Kwa Mwezi
Call 0758105801/0769077001