House for rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


House Of Three Bedrooms, Sebule na Jiko 1.2 million🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Mikocheni📍
• Nyumba ina Vyumba Vitatu Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Full air Conditioner✅
• Nyumba ipo Barabarani
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 1.2 million 💸💵
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp