House for Rent at Mwenge, Dar Es Salaam


MASTERBEDROOM, SEBULE NA JIKO - 500K
NOTE: Nyumba haitaki mtu mwenye vitu vingi (nyumba sio kubwa sana).
Furahia Maisha Bora Mwenge karibu na Mlimani City
Maelezo ya Nyumba:
• Masterbedroom
• Sebule
• Jiko lenye makabati (Open kitchen)
• Heater ya maji
• Parking
• Nyumba ipo karibu na barabarani
• Umeme unajitegemea
Bei na Masharti:
• Kodi: 500,000 Tsh kwa mwezi
• Malipo: Miezi 6 kwa awamu
Gharama za Ziada:
• Service charge: 20,000 Tsh (malipo ya mara moja tu)
• Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali:
Mwenge karibu na Mlimani City
Kwa Mawasiliano Zaidi:
O677370515