House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENT ZIKO NNE NDANI YA FENSI.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO.
MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA (TENKI LIPO), NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU, KITUO KONA MATAA.
KODI: 180000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.