House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER), VYUMBA VYOTE VINA FENI, SEBULE KUBWA SANA, DINING NA JIKO LENYE KABATI NA STOO. CHOO CHA NDANI PUBLIC, ELECTRIC WIRE FENSED⚡️, RESERVE TANK.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
KODI: 400000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.