House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE, DINING NA JIKO LENYE KABATI.
MAJI DAWASA YAPO MAJI MASAA 24.
LOCATION: PUGU KONA MATAA.
KODI: 250000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.