House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, MPYAAAAA.
INA CHUMBA, SEBULE. JIKO NA CHOO CHA NDANI. MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI. UMEME INAJITEGEMEA MITA NA MAJI INAJITEGEMEA.
KODI: 120000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.