House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


👉🏛️ KINAPANGISHWA CHUMBA MASTER BADO KIPYA KINA TILES, GIPSAM, FEC, MAJI BULE MATUMIZI 24 HR HAYANA MGAO MASAA24 YANATOKA, ELECTRIC ⚡ FEC,PERVING BLOCK,FENI NA UMEME LUKU YAKJITEGEMEA.
👉🏦BEI ELFU SABINI (70,000/=) TUH UNATAKA NINI TENA MTEJA WANGU CHUMBA KIPYA WEWE NDIO WAKWAZA KUKIFANYIA MAOMBI .
👉☝️KIPO PUGU KIGOGO FRESH, KITUO KWA MSITAFA, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM.
0614130017
0788156493
0760053111