House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER NA SEBULE INAPANGISHWA (NYUMBA MPYA)
NI KARIBU SANA NA BARABARA, BILI YA MAJI INAKATWA KWENYE KODI, MAJI DAWASA. UMEME WANASHEA WATATU.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA
KODI: 110000 KWA MWEZI, KODI KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.