House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE, CHOO CHA NDANI PUBLIC NA JIKO LA NNJE. INAJITEGEMEA YENYEWE KILA KITU, MAJI YAPO DAWASA NA TENKI LIPO.
KODI: 120000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.