House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, HAPA WAPO WAPANGAJI WAWILI TUUU NDANI YA FENSI. NYUMBA MPYAAAA!!
KUNA CHUMBA MASTER, SEBULE NA SEHEMU YA KUPIKIA YENYE GRIL, FENI SEBULENI NA CHUMBANI, NNJE KUNA KALO LA KUOSHEA VYOMBO NA CHOO CHA PUBLIC KIKO NNJE. HAPA UMEME MITA KILA MTU YAKWAKE NA MAJI MITA KILA MTU YAKWAKE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI..
KODI: 120000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA KWA SASA, BAADAE UTAENDA MITATU MITATU.
CALL: 0692423138 / 0719115949.