House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA
UMEME MITA KINAJITEGEMEA NA MAJI NI BUUUUUREE YAPO MASAA 24! MAZINGIRA MAZURI NA FENSI INAUMEME USALAMA UHAKIKA.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA
KODI: 60000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.