House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO. FENI IPO SEBULENI NA CHUMBANI.
TENKI LA KUJITEGEMEA, UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA, FENSI YA UMEME KWA USALAMA ZAIDI NA PARKING IPO.
VYOTE HIVI UNAPATA KWA KODI YA 150000 TU KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
LOCATION: PUGU, KITUO KWA RAIS.
CONTACT:: 0692423138 / 0719115949.