House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 420k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Sinza📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Nyumba ipo Fenced ila Parking ni ya Nje📌
• Nyumba ipo karibu na Main Road (dk 5 kutembea)
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 420k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲