House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho.
- Master (ina choo cha kukaa na shower)
- Sebule (ina feni)
- Jiko (lina makabati)
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Tank
- Parking
- Paving
- Fence
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 250,000/=.
Service charge 10,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.
NYUMBA IMENYOKA.
MUHITAJI AJE AONE TUFANYE BIASHARA.