House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Baracuda Cha'ngombe.
- Master
- Jiko lenye makabati
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
Kodi 200,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.