House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Migombani.
Ni master.
Maji 24/7.
Umeme submeter.
Dakika 1 kutoka kituoni.
Parking ipo.
Kodi 100,000/=.
Kupelekwa 10,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.