House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Chumba kinapangishwa sh 50000 kwa mwezi, hiki chumba kipo tabata kinyerezi zabikha dar es salaam
Mteja tembea na pesa chumba aikai
#Sifa ya chumba choo chako mwenyewe
#Peving block
#Fence
#parking
#Bajaji sh 500 hadi kituoni
Note:
#Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa chumba sh 15000
#Bila kusahau pesa ya mwezi mmoja endapo ulipapo chumba