House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER CHENYE KABATI | SEBULE | JIKO LENYE MAKABATI | FENI CHUMBANI NA SEBULENI | MAJI YAPO MASAA 24 NI BUREE | MITA YA UMEME INAJITEGEMEA | NYUMBA IPO NDANI YA FENSI.
KODI 250000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
LOCATION: TABATA SEGEREA MWISHO.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.