House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


Chumba master na sebure na jiko inajitegemea pekeyake ndani ya fenz call 0768682919...malamba mawiri msikitini dar es salaam Tanzania
Gharama ya kupelekwa kuonyeshwa nyumba sh 20000
Au malipo ya dalali ya mwezi mmoja endapo ulipapo nyumba sawa na mwezi mmoja
Follow me dalali mchina tabata kinyerezi Instagram, Facebook & tok tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania