House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Hapa Kuna zaidi ya Sqm 720 Zinapatikana Tabata kinyerezi Zimbili zinafaa kabisa kwa uwekezaji
Bei: 80 Milion #maongezi_yapo
Service Charges:30,000 ( Unalipia Mala Moja Tu.)
๐Location: Tabata Kinyerezi ZIMBILI B Dar es salaam Tanzania
๐Ukubwa wa kiwanja Ni Sqm 720
Umbali Ni 1.5 KM kutoka kinyerezi Mwisho
โ
๏ธFully Documented
โ
๏ธKina Hati Miliki ya wizara ya Ardhi
Kinyerezi Zimbili Moja kati ya maeneo ambayo yanakuja kwa kasi sana hapa kinyerezi kwa uwekezaji, unaweza kujenga kwa kuishi au ukaamua kuweka nyumba za kupangisha panalipa sana Mazingira ni rafiki sana Mitaa yake imenyooka sana
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
โ๏ธ0785916587 Whatsp/Calls
โ๏ธ0627511524 Whatsp/Calls