House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







#KODI 200K MALIPO MIEZI X6
LOCATION TABATA BONYOKWA USAFIRI DALADALA ZA MNAZI MOJA UKISHUKA DK7 KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBAš
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
PARKING SPACE KUBWA
MAJI MASAA 24/7
UMEME RUKU YAKO
DILISHA ALUMINIAMU
KODI 200K MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBAš¤
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI