House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







#KODI 250K MALIPO MIEZI X 6
LOCATION TABATA BONYOKWA MWISHO
UMBALI WA KUTEMBEA DK 7 KUTOKA STAND YA DALADALA ZINAZOENDA MJINI USAFIRI WA UHAKIKA
SIFA ZAKE 👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 250,000 MALIPO MIEZI X 6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
SIMU
0712656027



















