House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam






HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 500,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 V2 MASTER
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 1/10/2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
0713661530_0783661530