House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







(350,000 × 6) UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI
350K MALIPO MIEZI X6 PIA KUNA PESA YA TAHADHARI AMBAYO UNALIPA SAMBAMBA NA KODI AMBAYO NI 350K
APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO (3)
LOCATION UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI
SIFA ZA NYUMBA👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO
BAJAJI 500 KUTOKA UBUNGO EXTERNAL
UMEME MITA YAKO
PARKING SPACE KUBWA
HEATER YA MAJI MOTO
FULL A/C
FULL SECURITY
NYUMBA IKO KWENYE FENCE
BARABARA RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI SH.350,000 MALIPO MIEZI 6
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30.10.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA 🤝
Contact:
0654101710
0787205300