House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


——
(400,000X6)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
NI APARTMENT MPYAA KABISA ZINAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA 500
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0696708032
0679 956 863