House for Rent in Majohe, Dar Es Salaam







Chumba master sebule mpyaaaa inapngishwa!!
Vyumba ni vikubwa sana
Choo ni kikubwa sana mnaoga wawili
Feni zinafungwa Leo na UMEME unaingia Leo
Maji na UMEME unajitegemea mwenyewe Mita
Nyumba Iko ndani ya fance full parking geti kali
Nyumba ina baraza kubwa sana
Wapangaji ni 5 TU kila Mtu ana upande wake
Nyumba ni kwaajili ya wapangaji tuu mwenye nyumba hakai hapo
Full windows slide
Full shower
Full gypsum
Kodi ya nyumba ni 150x3+1 Dalali
Service charge 25k
0614130017
Location ni gongo lamboto majohe chuo rada




















