House for Rent in Ubungo, Dar Es Salaam




NYUMBA YA KUPANGA- #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU 250,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
📌CHUMBA MASTER
📌SEBULE KUBWA
Tsh. 250,000/=
Usafiri bajaj 500 kutokea ubungo riverside ukishuka unapiga teke mlango
Ni nyumba ya Kisasa ina Sebule na jiko Chumba cha kulala na choo ndani
Full Tilles,Gypsum & Aluminum slide window.
LUKU wawili na Maji yapo nje
Nyumba ipo ndani ya fensi Parking ipo kubwa sana
Kodi 250,000/= Kwa mwezi malipo miezi 6 na malipo ya mwezi mmoja wa dalali
Service_Charge_20,000/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa Nyumba mpaka upate bila kuchajiwa tena ukirudi.
Normal Calls: 0688 067 289 📞




















