House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


WADAU NALITUPA HILI PAGALA LIPO BUNJU A KM 3 KUTOKA BAGAMOYO ROUND šLINATUPWA NIKALI BALAA LINA VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHOO KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 573 KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI NYUMBA IPO MTAA WAKIBABE SANAAAAA BEI LINAUZWA MILION 45 MAONGEZI KIDOGO YAPO WAHI MJENGO HUU UNA RAMANI KALI SANAš„š„
š² 0682 402 327 š¶