House for sale at Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA GOROFA LA KISASA INAUZWA.
πLocation: BUNJU - MOGA(Dar es salaam)
UKUBWA WA ENEO SQM 1000.
Nyumba ina vyumba vi4 (vyote master)
-Sebule mbili kubwa(juu na chini)
-Dinning room
-Kitchen
-Store
-Public toilets
-Ueme, maji(dawasco)
Gorofa lipo mtaa mzur uliopangika.
πFull Documents,TITLE DEED (Hati miliki ya wizara ya Ardhi)
Bei: Million 530 (Mazungumzo yapo)
βοΈ0713958395/0687800788