House for sale at Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BEI 40 MILIONI IPO CHANIKA
Features.......
Vyumba vitatu
Kimoja master
Sebule
Dining
Jiko
Public toilet
Ina fensi
Umeme upo
Maji yapo
Mpya ya kuhamia
Ipo Chanika Kwa Singa Ilala Dar es Salaam
Call WhatsApp 0713066000 0753066000
Karibu dalalimsomipuguchanika tukuhudumie kwa huduma bora uhakika na uaminifu.
Site Visiting Fee 20k..
NOTE: A Customer is a part of our family.