House for sale at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri inauzwa Goba Kinzudi, Dsm
Ina room 3 kimoja master, sitting room, dinning room, kitchen, store & public toilet
Karo la nje la vyombo lipo
Eneo: Sqm 400
Maji na umeme ๐โ๏ธ
Parking ipo yakutosha kabisa
(Nyumba ipo karibu kabisa na barabara kuu iendayo Goba center na Salasala)
๐ Ina fence tayari ila ni yakumalizia kidogo tu.
Bei: Tzs mil 45
โ๏ธ Call: 0658090294
(Gharama yakupelekwa site ni Tshs elfu 30)