House for sale at Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







BEI IMEPUNGUA KWA SASA NI MILION 46 ZAMAN MILION 55
Nyumba inauzwa gongo la mboto Majohe (barabara ya viwege)
๐BEI MILION 46 INAPUNGUA KIAS๐
Vyumba v3 kimoja masta
Dining siting jiko
Umeme na maji jipsam
๐Eneo sqm 450 (makadilio)
๐๐IPO NDANI YA FENSI๐๐
UNATEMBEA DAKIKA 4 HAD STEND
Whatsap au piga
0719 514377