House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
Sebule Kubwa jiko
Pia ina vyumba vingine kwa nnje
Ukubw wa kiwanja ni
Sqmt 800
Bei ml 160.
Ipo kigamboni kisota
Tuwasiliane mapema matajili
📞☎ 0746914709