House for sale at Kilimanjaro


*NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA BANK*
IPO KONGOWE MBAGALA
HAINA KONA KONA MWENYEWE AMEKUBALI YAISHE BILA VITA ZA MAJI MAJIπ€ KAWEKA SILAHA CHINI
INA FAA KWA BIASHARA YA KUPANGISHA AU WALE NDUGU WANAO SUMBUWA WAWEKE HUKU HAKUNA KELELE USIWAJAZE NYUMBANI KWAKOπ SIO KWA UBAYAπ
INA ROOM 6 CHOO NA BAFU NA SEBULE NDOGO
Nusu kilometer kutoka kongowe stand
UMEME NA MAJI VIPO
BEI YA BANK MILIONI 18 LETA OFFA YAKO TUIFANYIE KAZI
GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI 50K
MAWASILIANO WHATSAPP AU CALL 0784 919 453,, CALL ONLY 0658 582 977
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA π https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale


















