House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA FAMILIA INAENEO KUBWA KWA NYUMA UNAWEZA JENGA TENA INAUZWA BEI MILIONI 60 MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO
NYUMBA NZR INA VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER SITING ROOM DAINING TABLE JIKO KUBWA PABLICK TOILET NDANI BAFU NA CHOO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA INA DOCUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
NYUMBA INAUKUBWA WA ENEO SQM 600
LOCATION KIMARA MWISHO KM 2.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700 BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
NYUMBA YA KUPIGA RANGI NA KUHAMIA TU NYUMA UNAWEZA JENGA APARTMENT ZA WAPANGAJI AU KUFUGA ENEO LIPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347