House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


HIYO NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ZIPO APARTMENT MBILI
VYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE WASTANI
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA
PUBLICK TOILET
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DARAJANI KARBU NA MWENDOKASI KILOMITA 1
USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI TAX DALADALA NAULI 500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
PIGA SIMU 0755831740
BEI NI 400,000