House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


JENGO LA BIASHARA, VYUMBA 20, TSHS.150 MILIONI, KIVULE-MWISHO.
Ni jirani na Kituo cha Daladala.
Hapa palikusudiwa kuwa Hospitali.
Jengoni imara na limeishia kwenye hatua Linta.
Panafaa kwa shughuli kama:
●Apartments
●Hostel
● Shule ya Watoto
●Zahanati,
●Lodge nk.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,300.
KIMEPIMWA.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
________________drg
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.