House for sale at Mawasiliano, Morogoro


Nyumba nzuri ya chumba Master bedroom sebule na jiko tiles and gypsum slide windows ndan ya gate mazingira mazuri sana car parking kubwa full paving block mwenye nyumba hakai hapo hakuna masharti hii ipo katikati ya mawasiliano stand na ilipo kuwa stand ya mkoa zaman ina kuwa wazi tarehe 5,03,2024 ila una ruhusiwa kuona na kulipia yan kifupi ina kuwa wazi mwisho wa mwez huu bei 280x6 tu....0787939898