House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
sana tsh mil 60 tu Maongezi
Nyumba ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es salaam wilaya ya temeke
Ipo jilani kabisa na bara bara kuu ya lami ni sekunde 36 tu
Kutoka bara bara kuu ya lami ya chamaz
Nyumba ina vyumba vya kulala 3 kimoja ni master bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toylety
Contact call 0712531657
0789731695