House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


BEI yake shilingi milioni 58
Nyumba mzuri mnoo inauzwa mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam
Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko.
Nyumba mzuri mnoo,ina full tiles, gypsum board, pevin na kadhaalika
Bei yake shilingi milioni 58
Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Call/WhatsApp 0788156493 0614130017