House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Ipo mbagala nzasa kwa mzungu nyuma ya dar live
Nyumba nzuri sana mwenyewe kavulugwa sana ana iyuza bei nafuu sana tsh million 40 tu
Nyumba nzuri sana ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku eneo square miter 400 ina full document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba Kalli sana bei ya kutupa sana
Njoo uone tumalize biashara mbagala nzasa kwa mzungu Jiji la dar es salaam wilaya temeke
Kalibu sana hii ni offer yako leo
0788156493
0614130017