House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba nzuli na ya kisasa inauzwa
Nyumba ipo mbezi mshikamano
Nyumba ipo umbali wa km 2 kutoka stendi ya maghufuli
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master stoo
Eneo sqm 1500
Bei mil 110 mazungumzo
Boda elfu 1500 toka stendi ya maghufuli
Karibu sana mteja