House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


βNYUMBA iliopo Ndani ya kiwanja sqmt 2016 Inauzwa milioni 65 maongezi yapoπIPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFULI BUS TERMINAL KONOIKE ROAD (KONTEINA STREET) - Dar es salaam - Tanzania
βSIFA)- Ukubwa eneo na unaweza kuvunja nyumba iliopo unajenga uipendayo,pia panafaa kwa apartment, Lodge Nk
*Distance* kilomita 1.8 kutoka Bara Bara kuu ya Morogoro road
-Ukubwa wa eneo Sqmt 2016
-Document; Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
βKiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo kwenda
Kukagua kiwanja tunachaji 30000 piga
Kwa maelezo zaidi
0784422099
0746218111
0715422099