House for sale at Msongola, Dar Es Salaam


Nyumba ZOTE MBILI zinauzwa ndan ya eneo moja zipo Kata ya Msongola (mbondole mwembeni)
WILAYA YA ILALA DAR
📌BEI MILION 74 inapungua kias
Vyumba v3 kimoja masta
tailz jipsam, maji umeme
jiko na stoo
Paving block kote
NYUMBA YA PILI INA VYUMBA V3 NA PABLIC TOILET
unatembea tu had stend
👉Eneo sqm 550
Whatsap au piga
0788156493
0614130017